Loading...

FUMANIZI LATOKEA MAENEO YA TANDALE KWA TUMBO USIKU HUU....

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Kijana mmoja kwa jina tumemuhifadhi amefumaniwa akiwa na mtoto wa baba mwenye nyumba wakiwa katika starehe zao. Kijana inasemekana kuwa mchezo huo wa kutembea na binti wa mzee mwenye nyumba ulianza zamani bila ya mwenye nyumba kujua. usiku wa leo wakati mwenye nyumba akirudi kutoka kwenye shughuli zake ndio kasikia kelele za raha na kutizama chini ya mlango nakuona viatu vya binti yake.
Baba mwenye nyumba huyo alikimbilia kwenda kumuita kumita mke wake iliwaweza kuhakikisha kuwa ni binti yao ama wamefananisha.

Baada ya baba mwenye nyumba na mke wake kujihakikishia kuwa ndio itakuwa binti yao yumo ndani humo. Waliamua kwanza kuchukua uwamuzi wa kwenda kuita majirani iliwaweze kushuhudia tukio hilo. Inasemekana binti huyo wa baba mwenye nyumba kesha toa mimba tatu za huyo kijana bila ya wazazi wake kujua. Hii imebainika baada ya majirani kufika na kumpa ruhusa mwenye nyumba kuvunja mlango na kuwakuta watu hao waikwa uchi wa mnyama.

Binti huyo aliekuwa akisoma shule ya sekondari ITEBA kidato cha nne kwani la swaumu ameona hata haibu kutizama wazazi wake kwa kitendo kichafu na cha kiovu alichokuwa akifanya na kijana huyo kwa muda mrefu tena kwenye nyumba ya baba yake bila hata ya ndoa.

Kijana huyo ameshikiliwa na jeshi la polisi kwa linzi kwani majirani walitaka kumvamia na kutaka kumshambulia kiasi kwamba kinge weza kuleta madhara makubwa ndipo wasamariawema wakachukua maamuzi yakupiga simu haraka na kuwajulisha polisi kuweza kufika mahali hapo kwaajili ya usalama zaidi.

Kwenye kisima cha burudani tutaendelea kuwajuza mengi zaidi kadri ya habari zitakavyo kuwa zikitufikia. usikose kutembelea blog yetu mara kwa mara ilikuweza kuapata habari mpya za kusisimua na motomoto.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top