Loading...

BREAKING NEWS: RAIS JOHN MAGUFULI AWASIMAMISHA KAZI KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI…

video za wagombea urais bonyeza hapa chini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja   ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi karibuni.


Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amezitaja dosari hizo ni pamoja na tuhuma za rushwa. Ukusanyaji mbaya wa maduhuli ya serikali ukiukwaji wa taratibu za manunuzi na utendaji mbovu. Balozi Ombeni Sefue amesema watendaji hao wakuu wa uhamiaji wamesimamishwa kazi mara hadi hapo uchunguzi utakapo kuwa umekamilika na endapo watabainika kutokuwa na makossa raisi ataamua hatma yao.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top