video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Haya ndio yalikuwa Maongezi ya Mrisho Mpoto akizungumzia Juu ya Wimbo wa "Mjomba". Uliokuwa unasemekana kuwa unamsema Mh. Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete. Mpoto alizungumzia mengi kuhusuiana na Historia nzima ya Maisha yake na mpaka kufikia wimbo wa Mjomba kumkutaniusha na Jakaya Kikwete.
Pata uhundo zaidi hapo chini kwa kutizama Video nzima jnsi ya Mpoto alivyoweka mambo hadharani. Kama ilivyo kawaida ya Kisima Cha Burudani kukujulisha habari moto moto zinazotokea kila sekunde inayopita.
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Uhondo Mpya: Mpoto Akizungumzia juu ya Wimbo wa"Mjomba"...
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII
Tuesday, 23 February 2016
Post a Comment