video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Ajali Mbaya Yatokea Majira ya Asubuhi eneo la karibia na Matumbini karibia na darajani ambapo Dalada aina ya DCM( Dayana Clipper) Iliokuwa inatokea Gongo la Mboto kuelekea Ubungo limevaana uso kwa na Lori la Mizigo liliokuwa likielekea Mbagala nyuma lilikuwa limebeba Ng'ombe. Na katika Ajali hiyo abiria walionusurika ni wanne tu! Na daladala ilikuwa imejaza abiria mpaka wengine wamesiamama na katika Lori hilo hakuna aliepona ikiwemo na Wanyama pia...
Unaweza kutizama tukio zima kwenye Video hapo chini...!!!!1
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Hivi Punde: Ajali Mbaya Yatokea Maeneo ya Njia Panda ya Tabata Abiria Kufariki....
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII
Wednesday, 9 March 2016
Post a Comment