Loading...

Leina Tours: Ajali Mbaya Yatokea Kimara Buch na Bus la Leina Tours...

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Ajali Yatokea Usiku wa Kuamkia leo Eneo la Kimara Bucha na bus aina ya Leina Tours lilokuwa linakaribia kuingia stand Ubungo. Bus hili la Leina Tours lilikuwa likitokea Shinyanga kuja Jijini Dar Es Salaam. Safari ndio ikaishia hapo Kimara Bucha Idadi kamili ya watu waliofariki haijatolewa bado. Ila kwa majeruhi ni 30 ma wamekimbizwa Mwananyama pamoja na Muhimbili Hospital...


 Ni tukio la kusikitisha ila ndio mipango ya Mungu.


SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top