Loading...

MALKIA wa NGUVU: Hivi Ndivyo Ilivyokuwa Kwenye Utoaji Tuzo wa Malkia wa Nguvu...

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Kama tunavyojua kuwa sherehe ya Tuzo ya Malkia wa Nguvu ilikuwa ya aina yake watu maarufu pamoja na wasanii kibao kushiriki ikiwemo na washindi wa aina mbali mbali wa tuzo hiyo. Kama huku fanikiwa kutizama ama kushiriki basi usijali utapata tukio zima pamoja na video yake hapa...


Kama tunavyomuona Mshindi wa Miss Tanzania mwaka 2015-2016 akiwa katika ubora wake naye akiwa mshiriki wa sherehe ya Malkia wa Nguvu.

Watu kutoka Nchi na sehemu mbali mbali wakiwemo kwenye tukio la Malkia wa Nguvu.

Hapo tunamuona Malkia wa Nguvu mwenyewe Linah akiwa na Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania Mh. Anna Makinda wakiserebuka.

Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Ruge Mtahaba akiwa na Spika Mstaafu Mama Annna Makinda pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Makonda.


          Unaweza Kutizama Tukio Zima kwenye Video hapo Chini.....!!!!!
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top