Hii imetokea kwa msanii mkongwe na maarufu Baraka de Prince kuwekwa
hadharani na mzazi mwenzake kwa kosa la kutotimiza majukumu ya mwanae. Maneno
haya yamekuwa gumzo kubwa mtaani pia kati ya Barakah na mzazi mwenzake. Je’
wataka kujua zaidi….!!!!
‘tatizo sasa hatoi huduma ya mtoto, yani kila
siku nikimpigia simu yuko busy anadai yuko studio na huku nyumbani kwetu
wananifukuza wanadai niende Dar es salaam‘
Baada
ya hizi stori, Kisima cha Burudani ilimtafuta Barakah da Prince ili kupata
ukamilisho ‘Kwanza siwezi kumkataa
wala kumtelekeza mtoto, ni kweli mimi nina mtoto na taarifa za kuwa sitoi
matumizi ya mwanangu‘
‘sijawahi kupewa taarifa za matumizi ya
mwanangu na nikaachi kutuma, imeniumiza sana, na hii imeniuma kuliko kitu
chochote kilichowahi kuniuma katika maisha yangu.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Post a Comment