Tunajua ni Watanzania
wawili walishinda tuzo mbili kwenye usiku wa tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards, wa kwanza ni
Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambapo
Richie tayari alisharudi
nyumbani Tanzania usiku wa March 6 2016
ila Lulu hakutokea Airport japo baadhi ya watu walimtarajia....
Lulu alishindwa kutokea
jana akiambatana na Richie na kuiambia Kisima cha Burudani kwamba hakuweza kurudi hiyo jana sababu
alibaki Nigeria kwa ajili ya kazi, kuna watu alikua na maongezi nayo kwenye
nchi hiyo maarufu kwa filamu Afrika.
Video hapa....!!!!
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.
Post a Comment