Loading...

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA LA BUS AINA YA BM COACH YATOKEA MIKISE MKOANI MOROGORO...

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Ajali mbaya yatokea maeneo ya Lubungo Mikese barabara kuu ya kuelekea Mkoani Morogoro watu 22 wadaiwa kupoteza maisha papo hapo na 36 yadaiwa kuwa ni majerui. Hii imetokea hivi punde na kisima cha burudani ilijitahid kadri iwezavyo kufanya mawasiliano na kufika eneo la tukio. Abiria 36 wako kwenye hali mbaya na wamekimbizwa katika Hospital kubwa ambayo ndio Hospital ya Mkoa wa Morogoro.
Kama tunavyo jua kwa muda mrefu sasa mabasi ya kampuni ya BM Coach ndio yamekua mpizani mkubwa wa mabasi mengine yaendayo Safri za Morogoro-Dra es Salaam. Ni habari ya kusikitisha sana kwani kampuni hii ya mabasi imekuwa na abairia wengine kwa miaka ya hivi karibuni kumshinda hata wakongwe walioanza biashara hiyo kwa muda mrefu kama vile Abood Bus na Hood na mengine mengi kama Islam na kadhalika. Tokea mabasi ya BM Coach yaanze safari zake za morogoro dar haijawahi kutokea ajali ya aina yoyote hivyo hii ndio inadaiwa kuwa ajali ya kwanza. Polisi wameshafika eneo ya tukio na kujaribu kufuatilia chanzo cha ajali hiyo na kubainika kuwa bus hilo lilikuwa linajaribu kukwepa Lori kubwa litokalo Dar kuelekea Morogoro dereva alijitahidi kadri awezavyo lakini jitihada zake ziligonga mwamba nakuamua kulipeleka kichakani. Mkuu wa mkoa wa Morogoro ameagiza ufanyike upelelezi wa kina juu ya chanzo cha ajali hiyo. 
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top