Loading...

Tumbua Jipu: Siri Kubwa Yafumuka Juu ya Weupe wa Ray...

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Msanii maarufu wa Bongo movies anaefamika kwa jina la RAY, huku jina lake halisi likiwa ni Vient Kigosi. Ameweka wazi kuwa ngozi yake haikuwa nyeupe wakati anazaliwa. Kwani alikuwa mweusi ila ghafla akaanza kuona mabadiliko mwisho wa siku akawa mweupe kama Mzungu. Sababu hasa ya weupe huo amasema kuwa alishaishi Nchi za Nje kwa muda mrefu sana.


Pia amezidisha kwa kusema kuwa yeye ni mtu wa mazoezi sana hivyo anaratiba nzito ya kufanya mazoezi na mpangilio mzuri wa Chakula. Unaweza kufahamu zaidi kwa kutizama video hii...
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top