Loading...

BREAKING NEWS: KAMPUNI YA KONYAGI KUZINDUA KINYWAJI KIPYA HII LEO...

video za wagombea urais bonyeza hapa chini


Hii imetokea leo watu wengi kuhudhuria Kampuni ya Konyagi ambayo ni kampuni tanzu ya TBL Group hivi karibuni iliandaa tamasha la kuonja vinywaji  vya wine vinavyotengenezwa na kampuni hiyo yenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam. Wazungu kwa wahindi katika viwanja hivyo kwajili ya uzinduzi huo hii nikuonyesha jinsi walivyo wapenzi wa kinywaji cha aina ya konyagi.


Tamasha hilo lilolofanyika katika hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam lilikuwa kivutio kwa watu wengi na walouhudhuria kwani walipata burudani za kila aina na kufurahia ubora wa vinywaji vya kampuni hiyo bila kusahau kucheza muziki,kupata maakuli na kujishindia zawadi mbalimbali.

 Wasgindi walio tunikiwa zawadi mbali mbali kwa unywaji bora wa wine hiyo mpya yenye kilevi cha wastani.

Na hilo ndio lilikuwa Jukwaa maalumu kwajili ya watu kuserebuka baada ya kinywaji kukolea. kama wengi tunavyojua baada ya kinywaji siku zote nikupata mzuki kuchangamsha mwili.
Watu walio jitokeza kuhudhuria wakipata burudani mbali mbali. Kama ilivyo kawaida yetu uwe unajitahidi kuetembelea mara kwa mara katika blog yetu ya kisima cha burudani uweze kuapata habari moto moto zinazokuwa zikitokea kila baada ya sekunde.



SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top