Loading...

BREAKING NEWS: WADAU WA ELIMU MKOA WA MBEYA NA KATAVI WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUONGEZA IDADI YA UFAULISHAJI WA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA MKOANI MBEYA…

video za wagombea urais bonyeza hapa chini


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh:Abbas Kandoro akizungumza na Waandishi wa Habari  nje Ukumbi wa Mkapa uliopo Sokomatola Jijini Mbeya katika Semina ya Wadau wa Elimu wa Mkoa wa Mbeya na Mkoa wa Katavi ambao wamekutana leo kuzungumzia juu ya Mbinu ambazo wanazitumia Mkoa wa Katavi kufanikiwa kufaulisha Wanafunzi kwa Asilimia kubwa Mkoa wa Mbeya na Mikoa mingine
.
Kutoka Kushoto ni Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Ndugu,Charles Mwakalila na Afisa Elimu Mkoa wa Katavi Ndugu,Helenest Hinju akizungumza na Wadau wa Elimu Mkoa wa Mbeya na Katavi hawapo Pichani katika Semina ya Wadau wa Elimu iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya.
Baadhi ya Wadau wa Elimu Mkowa wa Mbeya na Katavi wakisikiliza kwa makini Semina hiyo ya siku mbili juu ya Mbinu za Ongezeko la ufauru kwa Dalasa la Saba Mkoa wa Mbeya.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top