Serikali wilayani hapa Mkoa wa
Geita, imepiga marufuku walimu kuvaa mavazi yasiyolingana na taaluma yao na
upakaji wanja na rangi ya mdomo kupita kiasi wanapokuwa kazini. Hii nikutokana na walimu wengi sasa hivi huwa wanapoteza muda mwingi kwenda kwenye ma saloon badala ya kufundisha ama kufikiria kupanga ratiba za masomo. Wengine huwa wanaenda na vipodozi kabisa shuleni pale wanapokuwa watoa kazi kwa wanafunzi ndio wanatumia muda huo kuanza kujiremba.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Post a Comment