Loading...

FUMANIZI KALI LATOKEA NAKUWACHA WATU MIDOMO WAZI...

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Huyu jamaa akamatwa akiwa anakula mke wa mtu live. Na jinsi alivyo kuwa akijiachia alikuwa anachukua na ma video pamoja na ma selfie ya kutosha. baa ya jamaa kudokezwa mke wake alipo basi alafika na kuwakuta jamaa wakiwa bafuni wanafanya mambo yao kama wako nyumbani vile sijui walikuwa wanafikiria nini?? Ama ndio kunogewa huku jamani.
Baada ya jamaa kuwasili maeneo ya Hotel waliokuwepo hakuweza kuvumilia na kuingia na mlango moja moja ilikumaliza hasira zake juu ya mfumwaji. ila cha kushangaza mwanamke ambadilikia mme wake na kumpa maneno ya kashifa na matusi juu pasipo kutegemea. Kumbe katika uchunguzi yasemekana kuwa binti huyo alilazimishwa kuolewa na jamaa kwajili ya mali zake alizokuwa kuwa nayo. kweli ule usemi wa mpende akupendae asiekupenda achana nae unamaana sana.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top