Loading...

BREAKING NEWS.....

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Raisi wa awamu ya nne Dr. Jakaya Mrisho kikwete ajitosa na kwenda kuchukua baraka kwa papa wa dunia. Hii imetokea juzi huko nchini uwingereza amabpo rahisi huyo aliambatana na familia yaek tukimaanisha mke wake pamoja na watoto. Siku zote swahili husema baraka za mtu huwa ziko siku zote ila usipotambua ama kujitambua huwa zinachelewa siku zote.Na hii ndivyo ilivyotokea kwa Jakaya Kikwete kuamua kufanya maamuzi magumu na kwenda kupokea baraka zake alizokuwa ameandaliwa na Mungu bila ya kujali dini wala ukabila
.
Na huu umekuwa mfano mkubwa hata kwa ma raisi wengine. maana kuna ma raisi wengine wamekuwa wakiendekeza sana swala la udini kitu ambacho hata hayati baba wa taifa Julius Kambarage Nyerere alikipinga kwa kiasi kikubwa sana. Na mtu aliekuwa akibainikia kufanya kitendo kama hiko alikuwa anakuhukumia kunyongwa. Siku zote katika maisha ukitaka kuleta ama kuzua ama kusababisha maafa katika nchi ni kuanza kuingiza swala la udini.

Papa wa dunia amefurahi sana kwa ugeni huu. Na amewapongeza kwa maamuzi walio yafanya na amewapatia baraka za milele kwa maisha yao yote ya hapa duniani. Tujifunze kupitia wenzetu na tujifunze kwa mazuri na sio kwa mabaya. hongera sana Jakaya Mrisho Kikwete kwa mfano huu mzuri ulio uwonyesha kwa Tanzania na dunia nzima.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top