Loading...

MASWAHIBA WALIOSHIBANA KUETEMBELEANA....

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Hii ni baada ya alikuwa waziri mkuu wa awamu ya tatu Fedrick Sumaye kulazwa katika Hospital moja wapo hapa Nchini uwingireza raisi John Magufuli afunga safari na kwenda kumpa faraja swaiba wake fedrick sumaye na hii ni kutokana na kuwa na maisha baada ya uchaguzi. Raisi magufuli asema yeye hana kinyongo na mtu na yaliokuwa yakizungumzwa kwenye majukwaa ni sanaa tu!! Ila uswahiba uko pale pale leo kesho na hata milele.
Sumaye afurahi sana kuona swaiba yake kumjali na kufunga safari kwenda kumjulia hali. Raisi John Magufuli hakwenda peke yake. ilikumuonyesha kuwa yeye ni mtu mwenye upendo na bila chuki ameambatana na waziri wake bwana Kassim majaliwa Kassim pamoja na familia yake.

Mh. Waziri Mkuu bwana majaliwa Kassim Majaliwa akiwa na aliekuwa waziri mkuu wa awamu ya tatu mzee Fedrick Sumaye katika hospital aliolazwa huko Nchini uwingereza. Bwana majiliwa alizungumza mengi na mzee sumaye ikiwemo kumjulia maendeleo ya matibabu anayopata na kadhalika.

Mh. Edward Ngoyai Lowassa pendezo la watanzania nae akuwa mbali katika kwenda kumjulia hali ndugu yake, mwanachama mwenzake Mh. Fedrick Sumaye amabe walikuwa wote katika mbio za Uraisi na kuzunguka nchi nzima vijiji na vitongoji. tunaweza kusema kuwa labda kutokana na ile mikiki mikiki ya uchaguzi ndio imemsababishia mzee sumaye matatizo haya. ila usikae mbali ndani ya kisima cha burudani utajulishwa kila habari mpya zinatotokea punde.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top