Loading...

JAMAA AFUMANIWA NA MKE WA MTU NA KUKATWA SHINGO....

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Habari mpya kutoka gesti moja ya kinondoni jamaa afumaniwa na mke wa mtu wakiwa wanapeana uroda mwanamke akiwa amekolea kabisa bila hata ya kuwa nakumbu kumbu kuwa yeye ni mke wa mtu. Hii imetokea mchana wa leo maeneo ya kinondoni kwa manyanya fumanizi live kisima cha burudani ilitembelea maeneo hayo nakuweza kupata habari ya tukio zima.


Baada ya fumanizi hilo mwenye mke alishindwa kuvumilia na kumka chinja jamaa kama mbuzi na kunywa kisusio. Hii ni kukomesha tabia iliokisiri hata maeneo ya Sinza, Kinondoni na Mwananyamala kila siku lazima utaskia fumanizi na ukifuatailia utaskia mwanaume kafumwa na mke wa mtu. Watu inabidi wachukue tahadhari na kuacha mchezo huo mara moja.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top