Loading...

MAGOMENI MIKUMI YATOKEA BALAA NDANI YA NYUMBA....

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Katika nyumba moja maeneo ya magomeni mikumi bwana mmoja ataka kumbaka mke wake mpaka kufikia kudhiriki hata kumuua kisa kumgomea kumpa unyumba. Watu wanaposema ndoa inaraha na karaha basi tunaweza kuufisha huo ujumbe katika tukio hili ambalo ni la kustahajabisha sana. Swali ni je' huyu bwana kisa cha kufanya yote hayo ni kweli kwamba amenyimwa unyumba ama kuna mambo mengine yako nyuma ya pazia.


Baada ya purukushani za muda mrefu na ukizingatia zilikuwa nyakati za usiku muda wa watu kupumzika baada ya piripirika za siku nzima. Majirani walistushwa na kukerwa kwa kelele alizokuwa akizitoa mama huyo aliekuwa akifanyiwa kitendo cha kikatili. Hivyo ikawalazimu majirani kuamka nakutoka nje kutizama nini kinaendelea ndani ya nyumba hiyo. Waligonga kwa muda mrefu bila ya kufunguliwa mpaka ilipofikia kuita polisi kwaajili ya usalama zaidi na pia kuzingatia sheria ndio bwana huyo kaanza kukurupuka.


Polisi walifanikiwa kuvunja mlango na kuingia ndani huku bado bwana huyo akiwa ameendelea kumbana koo mke wake bila ya kuogopa poilisi.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top