Loading...

MAMBO MATATU MAKUU YA KUZINGATIA NDANI YA MAHUSIANO....

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Pata kujua mambo matatu ya kuzingatia ukiwa ndani ya mahusiano kuepuka kumpoteza mpenzi wako hasa yule unaempenda. Maana mapenzi ya siku hizi ni ya aina tatu. Kuna mapenzi ya pesa, mapenzi ya kujionyesha kwa watu na mapenzi ya kweli. Wanawake wa siku hizi wamekuwa tofauti kabisa na zamani.
Jambo la kwanza ni kuwa muwaminifu kwa mpenzi wako. hili ndilo jambo ambalo wengi wetu huwa tunakosea na baadae tunaanza kujutia na kujiona kama hatuna bahati. Kumbe sivyo ni sisi wenyewe ndio tunajicha nganya. Unakuta mtu ana mwanamke mzuri tena muwaminifu na mwenye kumpenda na kumjali. ila bado anakuwa haridhiki na kunza kushawishika ama kutamani wanawake wengine bila ya kujua kuwa wanawake wote ni hao hao na kitu ni kimoja tofauti ni maumbili tu! Hivyo mkiweza kuwa waaminifu wote wawili basi mapenzi yenu yatadumu kwa muda mrefu hata mkifikia ndoa basi mtaifurahia bila kukwazana wala kuona kama ndooa ni karaa.
Jambo la Pili ni kuheshimiana. Kama mnaepnda kwa dhati na mnaaminiana bila ya kuheshimiana bado sio kitu. lazima uhusiano wenu uwe wa mashaka, mfarakano na majibizano kila mara. Unakuta mwanamke inafikia kipindi anamropokea mwanamue wake mbele za watu na kumdhalilisha sasa unategemea huyo mwanaume ataweza kuvumilia kitendo hicho mpaka lini? Ama unakuta mwanaume anamkalipia mwanamke wake mbele hata za wageni tena muda mwengine unaweza kukuta hata ni wazazi ndio wamekuja siku hiyo ila mwanamke akakosea kidogo basi mwanaume anaanza kuonyesha udhaifu wake mbele hata ya wazazi wao.
Jambo la tatu ni kuwa na malengo. Unapokuwa kwenye mahusiano ama mnapokuwa kwenye mahusiano lazima muwe na malengo. Wengi wao wamezoea kuwa mahusiano ni swala la kujuana na kujamihana hapo ndio mnaona kuwa umekamilisha swala la mahusiano. Kumbe hapo ndipo huwa tunakosea sana katika mahusiano cha msingi ni malengo, unaweza mkfahamiana tangu mwaka 1956 mkaja kuingia kwenye mahusiano mwaka 1999 na mkafunga Ndoa mwaka 2005 nakuanza kushirkiana mapenzi hayo ndio tunaita malengo hapo kila mtu anakuwa amemaliza masomo yake mpaka elimu ya juu salama kabisa. Na kuanza kazi kana kwamba mnakua tayari mmesha jijenga kimaisha hata kwa watoto wenu na vizazi vijavyo. Ila chaa ajabu kinacho fanyika sasa hivi binti wa miaka 13 kesha jua kila kitu mpaka inafikia sasa anaanza kudharau wakubwa zake hata muda mwengine wazazi wake na kujiona kuwa yeye ndio katangulia kuliko wao. Tena anatamka kutoka kwenye kinywa chake kwamba baba wewe umechelewa sana. Sasa kama baba yake amechelewa sijui hilo neno baba linatoka wapi? enzi za mababu zetu ndio kulikuwa na maana halisi ya mahusiano hata kuiona tu chupi ya mwanamke ilikuwa ni maajabu ama ndoto lakini sasa hivi kutembea uchi ndio imekuwa staili.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top