Loading...

HISTORIA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA....

video za wagombea urais bonyeza hapa chini

Huyu ndio Wendell Lira Kipindi cha nyuma alipoumia, alikata tamaa, akakaa nje kwa kipindi kirefu na akaamua kuweka uamuzi wa kustaafu ili awe waita hotelini.
Mkewe hakutaka kumuona akistaafu hivyo akamtia moyo na kumwambia kwamba angepona na kurudi uwanjani hivyo asikate tamaa.



Unaweza kuona hapo katika picha jinsi alivyo jipinda bila ya kujiandaa nakufanya maajabu makubwa. Na

goli lake lilipochaguliwa kuwania Puskas, akapokea simu nyingi na kupewa taarifa, hakuamini kwani alifikiri ni utani kutoka kwa marafiki zake hao, hivyo akafungua link, kweli akakuta likiwa limechaguliwa na hakujua nani aliliweka Youtube.
Huwezi kuamini, aliposafiri kwenda Uswis, hiyo ndiyo ilikuwa safari yake ya kwanza kutumia ndege. Ndoto yake kubwa maishani mwake ilikuwa ni kukutana na Neymar. Alifurahi sana kukutana naye huko ila kilichomfurahisha zaidi ni kuwa kwenye kipengele pamoja na Messi.




Hakusaini autograph yoyote ile kwa mashabiki alipokuwa akiingia kupitia red carpet kwa kuwa hakukuwa na mtu aliyemfahamu. Goli lile alilifunga katika uwanja wenye mashabiki 290 tu, na aliendelea kumshukuru mtu aliyeiweka video ile Youtube.

SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top