Wapiganji wa Taleban
Ripoti
zinasema mshambuliaji mwenye umri wa miaka chini ya ishirini aliwalenga maafisa
hao wa polisi mapema hii leo.
Watano kati ya waliouawa ni maafisa wa polisi na miongoni mwao ni afisa mkuu wa polisi katika kizuizi hicho na naibu kamanda wa polisi kutoka kabila hilo ambaye aliajiriwa na serikali, ili kusaidia katika mikakati ya kupambana na wapiganaji wa Taleban Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.
Katika siku za hivi karibuni, maafisa wa ulinzi nchini humo wamekuwa wakilengwa na wapiganaji wa Taleban na Al-Qaeda.
Eneo hilo la Bajur limeshuhudia makabiliano makali zaidi kati ya wanajeshi wa serikali wanozizatiti kupambana na wapiganaji wa waasi.
Shambulio hilo ndilo mbaya zaidi kuwahi kutokea nchini humo tangu tarehe mbili mwezi Machi mwaka huu, wakati watu 22 waliuawa na mlipuaji wa kujitoa mhanga katika msikiti mmoja katika wilaya ya Khyber.

SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Post a Comment