Eneo lililoshambuliwa na mlipuaji wa
kujitoa mhanga nchini Pakistan
Watu wasiopungua 17 wameuawa katika
mashambulio ya mabomu ya kujitoa mhanga nchini Paskitan, katika mji mmoja
karibu na mpaka wa nchi hiyo na Afganistan.
Maafisa wa serikali ya Pakistan,
wamesema mshambuliaji huyo wa kujitoa mhanga alifika hapo kwa miguu na
kujilipua karibu na kizuizi cha polisi katika eneo linalokaliwa na watu wa
kabila la Bajur.
Wapiganaji
wa Taliban wamekiri kutekeleza mashabulio hayo.
Aidha wamesema walikuwa wakimlenga afisa mmoja mwandamizi wa polisi ambaye ametekeleza mauaji ya raia kadhaa na kuwatia nguvuni idadi kubwa ya wapiganaji wao.
Aidha wamesema walikuwa wakimlenga afisa mmoja mwandamizi wa polisi ambaye ametekeleza mauaji ya raia kadhaa na kuwatia nguvuni idadi kubwa ya wapiganaji wao.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Post a Comment