Loading...

MCHEZO WA MZIKI KUFIKIA KWENYE KUFANYA NGONO....

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Yaliojiri katika sherehe moja sehemu moja huko kinondoni watu kuserebuka mziki mpaka kuanza kushikana kidogo kidogo mwishoe kuanza kuvuana nguo na mambo mengine kufuatia. Kisima cha Burudani kama kawaida yake kilikaribishwa kushuhudia sherehe hiyo na mambo yalivyo kuwa yakifanyika hadharni watu bila hata kuwa na aibu. Kama ilivyo kawaiada ya kisima cha burudani nikutoa burudani kwa wadau wote ndani na nje ya nchi. Na ukiwa unafanikiwa kutembelea kila mara katika kisima cha burudani utayajua mengi yanayotokea duniani.
Tunaomba tu usije ukakutana na habari za mke wako ama mume wako ikawa tatizo ila sisi hatutoacha kukuhabarisha kila kinachoendelea.
Watu walikula burudani ya nguvu na kama unavyojua madhara ya pombe ukinwa kidogo unaweza ukajitambua. Ila kwa wengine na sie tunaopenda kufakamia kama vile tunataka tufungue kiwanda cha bia matumboni mwetu basi ndio mwisho wake pombe inakuwa mbaya na kuanza kufanya mambo ya ajabu na ya aibu. Ndio maana waswahili husema pombe sio chai.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top