Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
Mhandisi Suleiman Said Suleiman
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airport Association) Nchini Mhandisi Suleiman Said Suleiman amefariki dunia wakati akifanya mazoezi ya kuogelea katika Bahari ya Hindi leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Hii ilikuwa kawaida yake na utaratibu wake wa kila siku kwenda kujifunza kuogelea kwani hupenda sana kuogelea.

Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Mamlaka hiyo amesema kuwa msiba wake uko nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam na atazikwa katika makaburi ya Kisutu leo saa 10 jioni.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Post a Comment