Loading...

NAPATA SHIDA KUBWA MUME WANGU HATAKI KUNIPA TENDO LA NDAO TAKRIBAN MWAKA SASA. NAOMBENI USHAURI WENU...

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Yapata mwaka mzima sasa mume wangu imekuwa ni ungomvi familia haina amani watoto kila inapofikia usiku husikia makelele ya majibizano yote haya ni kwasababu mume wangu kila napokuwa najaribu kumuomba haki yangu ya ndoa hutoa visingizio zaidi ya mia visivyo kuwa nasababu. Nimejitahidi sana kumvumilia ila sasa naona nashindwa kwasababu mimi ni binadamu na nina hisia kukaa mwaka mzima bila tendo la ndoa linaweza kuniathiri hata kimawazo.
Nimekuwa nikivumilia ili kuweza kumjengea heshima kama mume wangu lakini nashindwa kuelewa kwamba katika vitu ambavyo anatakiwa kujali katika maisha yake ni pamoja na mimi. Sasa kama alinioa kuniweka ndani na kunitizama kama sanamu si bora anieleze nitafute msaidizi ilinisiwe namsumbua. Niwe natoka nje kumaliza haja zangu na dogodogo kisha nikirudi niko mwepesi kabisa hata tukilala mzungu wa nane wala sina tatizo. Hili swala limekuwa likinisumbua karibia mwaka sasa na zaidi naombeni ushauri ndugu zangu najua wengi mko ndani ya Ndoa tena hasa wanawake kama mimi. Unaweza pia kutoa comment yako kwa kuweka namba ya simu kisha nikakupigia tuzungumze zaidi ikiwemo kuonana kama itawezekana.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top