video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Hii imetokea juzi na kufikia Lulu na Wema kuandika juu ya fumanizi la idris Sulatn. Msanii huyu maarufu wa kuigiza Lulu akiwa na rafiki yake Wema wameamua kuandika juu ya Idris na kutupia vithibitisho vya msg mbali mbali ilikuweza kuweka mambo hadharani watu waelewe. Lulu akasirishwa sana nakuandika maneno yafuatayo.
Watu wengi wamekua wakijiuliza kuhusu fumanizi hili limetokea wapi? na lini na sehemu gani? Majibu yote yako kwenye msg hizi ukisoma kwa umakini utapata majibu yote hapa.
Kama ilivyo kawaida ya Kisima Cha Burudani ni kukupatia habari mpya moto moto kutoka sehemu tofauti ndani ya Nchi na Nje ya Nchi usikose kutembelea mara kwa mara uweze kufahamu yanayojiri kila sekunde inayopita.
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Habari ya Moto: Fumanizi Kali la Wema na Lulu kwa Idris...
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII
Monday, 22 February 2016
Post a Comment