Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Angela Kairuki ametangaza kumsimamisha kazi Mkuu wa chuo cha Utumishi wa Umma na Wakurugenzi wawili wa chuo kwa tuhuma za ubadhirifu wa wa mali za umma. Hii imabainika wiki iliopita na baada ya kufanyiwa Uchunguzi wa kina ndipo Waziri wa Nchi ofisi ya Rais bi Angel Kairuki kutumbua majipu yalionza kuoza.
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Angela Kairuki amemsimamisha kazi Said Nassoro Mkuu wa chuo cha Utumishi wa Umma na wakurugenzi wengine wawili wa chuo kwasababu ya matumizi mabovu ya fedha za umma.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Post a Comment