Loading...

Video Mpya: Kutoka kwa Yamoto Band- Mama. Kuwa wa Kwanza Kuitizama...

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Hii ndio Video Mpya Kutoka kwa Yamoto Band- Mama. Video hii ni kali kuliko video zote za Yamoto Band kwani wameamua kumtambulisha Mama yao Mzazi na kuimba maneno ya kutoka Moyoni kwajili ya Mama yao. Utafurahi sana kuskia Video hii kama na wewe unampenda na Kumjali Mama yako kwani Mama ni Mama hakuna kama Mama.


Kisima Cha Burudani inakuletea Video hii mpya kabisa ambayo bado haijatizamwa machoni mwa watu nwewe mdau wetu ndio utakuwa wa kwanza kuweza kutizama Video hii...

SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top