Habari za Makocha wa Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza zinazidi
kushika kasi katika vyombo vya habari vya Uingereza, kocha wa Man United
Louis van
Gaal na aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho ndio walikuwa
wanaongoza kwa kuandikwa....
Habari zimeahamia kwa kocha wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger, ambae weekend
iliyomalizika klabu yake imeondolewa katika michuano ya Kombe la FA, wiki
iliyopita kwenye mchezo dhidi ya Hull City shabiki wa Arsenal
alionekana akionesha bango linaloshinikiza ajiuzulu.
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Post a Comment