‘Kuna mambo yanayotokea kule CCM nadhani wameumia kidogo na sasa wanaanza
kulalamika Lowassa anavyowapotezea Ruzuku, lakini hivi karibuni kuna utaratibu
wa kuwafukuza kwenye chama watu wanaotuhumiwa kuniunga mkono, wanaambiwa
ondokeni kwenye chama mfateni Lowassa’…
‘Nasikia kuna mipango mikubwa zaidi Rais Magufuli
akikabidhiwa chama mwezi wa sita, kuna mipango mikubwa zaidi ya kuwaondoa
kwenye chama…. sasa mimi nawaambia kwamba kuna maisha nje ya CCM, waje CHADEMA
kuna maisha mazuri tu hapa…. wasibaki huko wananyanyaswa, waje tushirikiane
hapa yanini kulialia?‘ – Edward Lowassa
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Post a Comment