Loading...

Bonge la Party: Mastaa wa Bongo Walivyomuandalia Party Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda…

video za wagombea urais bonyeza hapa chini

Rais John Pombe Magufuli aliwateuwa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania na baadhi ya wakuu hao ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, March 15 mastaa wa bongo  wameandaa party ya kumpongeza Paul Makonda kwa kuteuliuwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na Sherehe ilikuwa hivi…


 Hapo ni Staa wa ucheshi Steven Nyerere Akiwa anatoa maneno kidogo kwa Mh. Paul Makonda.

 Mshindi wa Tuzoi kutoka Nigeria Richie akiwa anatoa maneno mazuri ya Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa.
 Wasanii Mastaa wakiwa na Mkuu wa Mkoa Mh. Makonda kwenye picha ya pmaoja.
 Wasanii wa Bongo Movie wakiwa Makini kusikiliza maneno ya Mkuu wa Mkoa.
Uwoya akiwa anatoia maneno ya Baraka kwa Mh. Makonda katika safari yake ndefu ya hapa Kazi tu!!!
Gwiji wa Maneno na Mziki wa Asili Alie baki Tanzania Mrisho Mpoto akiwa anafurahi nakutoa maneno ya wahenga ya kileta baraka kwa Mkuu wa Mkoa.

 
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top