video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Maisha Basement ni Club mpya ambayo iko Mikocheni huwa inasiku Special kwajili ya burudani zisizo patikana sehemu yoyote ya Starehe. Na Jumamosi iliopita ndio ilitokea moja wapo ya burudani hiyo kutoka kwa Kikundi maarufu cha Baikoko...
Mambo makubwa na yadimu kama ulikuwa hujui basi fika Maisha Basement utakutana na haya.
Kama ilivyo kawaida kwa Kisima cha Burudani nikukupa burudani tu! mwanzo mwisho na matukio yanayotokea kila baada ya sekunde kadhaa. Tembelea mara kwa mara Kisima cha Burudani uweze kupata taarifa na mambo mengi kutoka sehemu mbali mbali. Tumalize uhundo kwa kutizama video ya tukio zima hapo chini....!!!!
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>

Burudani Bomba: Matukio ya Mambo Makubwa Ndani ya Maisha Basement...
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII
Wednesday, 16 March 2016
Post a Comment