Msanii A.Y kwenda kukutana na viongozi wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA huku ishu pekee iliyojadiliwa ni swala la video ya wimbo wake wa ‘zigo remix’ kutakiwa kuonyeshwa kwenye TV za Tanzania kuanzia saa 3 usiku na kuendelea. Taarifa zilizotoka kabla zilionyesha...
Taarifa zilizotoka kabla zilionyesha TCRA kutaka video hiyo kuonyeshwa kuanzia saa tatu usiku mpaka saa kumi na moja alfajiri sababu imeona kuna picha zinazoonekana na haifai kuchezwa wakati ambao Watoto wanatazama TV, sasa walichojadili kiko kwenye hii video hapo chini.
Video hii hapa......!!!!
SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.
Post a Comment