Loading...

Vunja Mbavu: Tizama Masanja Alivyo Vunja Mbavu Magufuli na Majaliwa Ikulu...

video za wagombea urais bonyeza hapa chini
Msanii maarufu Masanja Mkandamizaji alivyo wavunja mbavu Ikulu Rais Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari na Michezo Nape. Hii ilikuwa juzi wakati wa Rais Magufuli akizungumza na Wasanii Ikulu Jijini Dar Es Salaam. Masanja awaacha watu hoi ni full vituko mwanzo mwisho...


Jamaa kwa Burudani ni kiboko. Unaweza kutizama mwenyewe kwenye Video hapo chini....!!!!


      Video hapa...!!!!


SHARE TO
kujishindia mamilioni bonyeza hapo chini, ==>>
Share/Bookmark International reporting trip.27 year old Missouri woman named Evelyn was recently featured on TLC's "My Strange Addiction", where she revealed that she's addicted to drinking air-freshner. According to Evelyn, she drinks 20 cans of air freshner a week and sprays up to 50 times daily.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top