Loading...

Skendo Mpya: Haya Ndio Maneno ya Lulu Akijibu Tuhuma Iliokuwa Ikisambaa...

Lulu Michael msanii maarufu wa Tasnia ya Filamu Tanzania. Baada ya kutoka kupokea Tuzo ya Ushindi nchini Nigeria arudi kwa kishindo na kukuta Skendo kubwa ikiwa inasambaa mtaani na kushangazwa. Sasa ameamua kuvunja ukimya na kuzungumza haya ilikuweka sawa Jamii ijui kinachoendela...

Share/Bookmark

Mechi za Leo: Utabiri wa Mechi Zote za Leo Kama Ufuatavyo:-

Europa League leo ni siku ya mechi za uefa marudiano ambapo jana tumetoka kuona Arsenal kakubali kusaliti amri kutoka kwa Barcelona kwa kukubali kupokea goli 3. Sasa leo Man United, Tottenham pamoja na Bayer Leverkusen wanacheza na utabiri kama ufuatao....

Share/Bookmark

Diamond na Kanye: Mambo Yaliomvutia Kanye West Kuhusu Diamond Platnumz...

Kanye West ni msanii maarufu kutoka Nchini marekani ameamua kufunguka kuhusu mambo aliyovutiwa nayo kuhusu Staa wa bongo Diamond Platnumz. Na hii na baada ya kukutana huko Los Angels nchini marekani. Mambo hayo ni kama yafuatayo...

Share/Bookmark

Diamond Platnumz: Show ya Diamond Platnumz Las Angles America...

Diamond Platnumz akiwa kwenye Show babkubwa iliofanyika Las Angles nchini America ambapo Watanzania karibia 500 walikosa ticket ya kuingia ndani kutokana na mashabiki wa Diamond nchini America walivyo wengi kupita kiasi...

Share/Bookmark

Burudani Bomba: Matukio ya Mambo Makubwa Ndani ya Maisha Basement...

Maisha Basement ni Club mpya ambayo iko Mikocheni huwa inasiku Special kwajili ya burudani zisizo patikana sehemu yoyote ya Starehe. Na Jumamosi iliopita ndio ilitokea moja wapo ya burudani hiyo kutoka kwa Kikundi maarufu cha Baikoko...

Share/Bookmark

Bonge la Party: Mastaa wa Bongo Walivyomuandalia Party Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda…


Rais John Pombe Magufuli aliwateuwa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania na baadhi ya wakuu hao ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, March 15 mastaa wa bongo  wameandaa party ya kumpongeza Paul Makonda kwa kuteuliuwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na Sherehe ilikuwa hivi…

Share/Bookmark

Edward Lowassa: Haya ndio Maneno ya Edward Lowassa Baada ya Kusikia Waliomuunga Mkono Wanaendelea Kufukuzwa CCM…



 Kuna mambo yanayotokea kule CCM nadhani wameumia kidogo na sasa wanaanza kulalamika Lowassa anavyowapotezea Ruzuku, lakini hivi karibuni kuna utaratibu wa kuwafukuza kwenye chama watu wanaotuhumiwa kuniunga mkono, wanaambiwa ondokeni kwenye chama mfateni Lowassa’…

Share/Bookmark
Older Posts
© Copyright KisimachaBurudani | Designed By KISIMA CHA BURUDANI
Back To Top